Mwanzoni ulikuwa na ID nzuri sana japo ulikuwa mkorofi ajabu na mafurushi yako. Baadaye ukahamia kwa @Espy. Sasa tena sijui ndo umeamua kujiita
Habun? Ni yale yale ya @Makiseo kuwa
Makiwendo. Binafsi mnaniudhi mpaka basi sema tu sina cha kuwafanya labda itokee siku mmoja wenu ajichanganye aingie kwenye anga zangu. Hasira zote za drama za kubadili badili ID hizi kusiko na maana nitazimaliziamo kwa kweli. Hamfai