Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kabla ya kutuma meme inayohusu malastborn unalazimika kumtumia katibu wa chama cha malastborn Tanzania(CHAmaLaTA) ndugu ShimbaYaB ili aihakik km haiend kinyume na yalioainishwa kwenye katiba ya (CHAmaLaTA) ambayo haijaandikwa
Niliitisha kikao hamkufika mi nishazira. Katibu napendekeza achukue Espy na wewe uendelee na ucheamani. Na hakuna kuzira zira hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…