$20,000,000 kalipwa ila na kichapo cha kueleweka kapokea. Uzeeni huko Parkinson's disease, dementia na matatizo kibao. Wajanja ni wale ambao hustaafu mapema vinginevyo ni hatari sana huu mchezo.
Kwa hiyo sisi ambao wazaz wetu kipind cha kupambania Uhuru hawakuwa na konekshen ya vyama vya Uhuru ndio kawaida tu kupewa kesi za ugaid??? Mwachen kibatala atimize majukumu yake