Vituko mitandaoni. Tupia chako

Bondia Tyson Fury amempiga mpinzani wake Deontay Wilder kiasi mpaka amevunjika kidole cha mkono, amepasuka ngoma ya sikio, na kuchanika mdomo wa chini.
Hata hivyo pamoja na kipigo hicho kwenye pambano hilo, bondia huyo amelipwa $20 ml.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…