Monopoly ni mbaya. Dogo kashikilia platforms zinazotumiwa na watu karibia bilioni 3+ (IG, FB, WHP). Si ajabu hata protokali za usalama ni zile zile kwa hivyo ukivunja ngome moja unaingia katika platforms zote. Naona tayari wanamkoromea wabunge wanamkoromea aivunje vunje FB na auze baadhi ya entities. Na mpango wake wa kuanzisha IG kwa ajili ya watoto tu umepingwa vikali mpaka ameachana nao!