Vituko mitandaoni. Tupia chako

Balaa alilofanya humu shozniga,utoto ulikuwa unanambia hivi ukichukua huyu na Rambo kule Afghanistan si wiki tu wanasafisha kila kitu[emoji848]!

Baadae nikajipa moyo wanapelekwa wanajeshi wa awali kwanza halafu baadae watapelekwa hawa wana.... utoto raha sana[emoji2960][emoji23][emoji847]
 
Halafu jamaa walikuwa hawafi hata ukiwapiga risasi na mabomu... [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…