Vituko mitandaoni. Tupia chako

hao wanaotoka dar kuja songea hawarudi kwao bila kuja nyasa


Naomba umpe bibi ooooh hiyo ni kazi ya bibi kunivisha
Seems huko pamechangamka kulingana na maelezo yako, can't wait to join you there😛

Navyomjua Bibi yako hawezi kukufundisha ukaweza, hiyo kazi niachie miye Mjukuu. Nikuhaidi kukupa mafunzo adhimu yatakayokuacha na kumbukumbu nzuri ya Babu 🙈🙈🤸🏽🏃🏻🏃🏻
 
Mkuu, mjukuu wangu Mawardat tayari kapata babu mwingine au inakuwaje sasa? What's going on?

Halafu mkuu we si umeshaitwa huko kwa Wanyaki huko sijui ukafundishwe kula maparachichi huko? Dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…