Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ikikuzingua sana, ichane tu; utaenda kumnunulia mpya baada ya zoezi

Kwema kabisa Mtumishi; sijui kwako huko
Kuna zingine ngumu kweli kweli kufunguka. Inafikia wakati inabidi utumie nguvu na hapo inabidi mwenyewe tu aingilie kati "ngoja nikutolee usije ukanichania"....

Kwema mtumishi? [emoji870][emoji870][emoji870]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…