Vituko mitandaoni. Tupia chako

WAFRIKA NA UCHAWI HUWAAMBII KITU.

Mashabiki wa timu ya VRA Youngsters ya nchini Ghana, wakiwa wamewabeba mgongoni wachezaji wa timu yao hiyo kuingia uwanjani ili kukwepa kile wanachodai uchawi waliotegewa na wapinzani wao Sokondi Wise Fc.

Pamoja na jitihada zao hizo lakini timu hiyo ilicharazwa bao 3-0.
 
Huo ndio ulikuwa uchawi wenyewe sasa.. Watu wanaingia uwanjani wao wanawabeba migunduni wakati mingine haijachambwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…