CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,044
Wanakera sana. Timu mbovu,halafu bado unawafanyia figisu wageni.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuu, mkuu mbona umefika mbali sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Timu inaongozwa kwa saundi kinyama,yaani mpaka tunawashtukia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuu, mkuu mbona umefika mbali sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji38][emoji38]Mechi ya kiume inapigwa inside ya ndani[emoji23][emoji23]
Dunia simama nishuke[emoji116]View attachment 1938671
Usiwe na jazba kiongozi, kujenga timu ni mchakato mrefu.Wanakera sana. Timu mbovu,halafu bado unawafanyia figisu wageni.
Basi wangeshinda,wakafungwa. Yaani kila nikiitafakari hii timu yangu sioni future kabisa.
Hutu tuvitu ni vitamu hivi basi tuTunakula tulivyopata badala vile tunavyotaka.
View attachment 1938934