Tumeumaliza mwaka 2016 salama na kuuanza huu wa 2017...ni mengi yametokea ya kufurahisha kusikitisha Kuhuzunisha kukera kushangaza nk , tumewapoteza wapendwa wetu hapa nje na ndani ya forum Najivunia mimi na wewe kwa shukrani kuu kuweza bado kuwa sehemu muhimu ya Jamiiforums...bila mchango wako...