Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mshkaj kaingia cha kike kuisemea uto,anakosa hata nafas ya kutoa kaul za kibabe km kawaida yake
Unawezaje kutoa kauli za shombo kwa timu kama ile!!
Huwezi kupata yote sehemu moja.
Ameenda Yanga kufuata pesa, Yanga wanampa anachotaka.
Masuala ya ushindi kwenye pitch ni suala lingine.
Simba alikuwa anapata hela ndogo lakini alikuwa anajenga jina, hivyo amejipatia heshima kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…