Vituko mitandaoni. Tupia chako


Hapo inabidi uwe umesha andaa ramani wapi pakutokea, na pia uwe na uhakika wa mbio zako, sema ukijikwa ndio utakua umepata ulichokua unakitafuta.
Imenikumbusha mbali sana enzi za mapambano dhidi ya utawala wa kidhalimu huku kwetu Kenya.....tulikua tunakimbizana na mapolisi hadi raha, sema ilikua wakikumata...mweee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…