Sio 2014 tu bali tokea 2010 ni mwana chama hapa jf, na jukwaa la siasa ndiko ninakoanzia lakini sijawahi ku experience ban, i wish some time lakini sababu unakosekana
Ukiwa na subira unaweza kuishi maisha ya siasa za jf bila ban.
Kule jukwaa la siasa hakuna tusi jipya linaweza kuamsha hasira zangu.
Tatizo la kule ukienda kwa nia kumpigania mtu kama alivyofanya Benito Mussolini kwa Hitler basi utakula ban kila ukiamka.