Vituko mitandaoni. Tupia chako

Boss nisaidie mimi mshamba,hii mimba imeingiaje bila Jamaa kuwa na mfuko wa uzazi? Au ni photo shop
Kumbe ilikuwa ni kiki ya kutangaza albamu yake inayokuja. Wanasema pia kuwa alifanya hivyo ili kuzima kidogo ujio wa albamu mpya ya Drake.

Kwa mtu ambaye alizaliwa mwanamke na akajibadilisha kuwa mwanaume kwa mwonekano tu bila kufanya operesheni ya kubadilisha viungo vya uzazi, anaweza kupata mimba akipewa tena mahomoni ya kike na kurudisha "uanamke" wake. Sex change Operesheni ni ghali na hawa transgender wengi huishia tu kubadili mwonekano lakini bado anakuwa na mbususu pamoja na kuwa na midevu na misuli ya kiume. Hali kadhalika unaweza kuliona sichana zuri na mtako wake lakini unakutana na mjurubeng...Mkanganyiko tupu hii dunia yaani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…