Mwaka 2006 nikiwa ndani ya Mohammed Trans naelekea Mwanza ilinikuta kama hii sema ilikuwa nafuu kidogo, ilikuwa tairi za upande wa kushoto stadi zote zilikatika na tairi kukimbilia mabondeni huko!!
Katika hali ya kawaida paka anaweza hata kutembelea miguu ya mbele, paka ana michezo zaidi ya mtoto wa binaadamu! Kusimamia kwa miguu ya nyuma ni kitu kidogo sana kwake!!