Vituko mitandaoni. Tupia chako

View attachment 1897354
Hio ni cabbage tu, imagine ingekuwa nyama....
Furaha inatokana na mindset. Wenye moyo wa shukrani hata kwa kidogo walichonacho ndo huwa na amani na furaha. Huyu bado mdogo na bado moyo wake ni mweupe. Subiri aje apambane na ghiliba za walimwengu, ubinafsi na malimbikizo...
 
Kama tu vile unakutana na mwanaume ako na pesa halafu uko na SHIMBA YA BUYENZE wako unafikiri utafanyaje sasa!!
Unapiga chini SHIMBA YA BUYENZE haraka ila tu uhakikishe kuwa hela zikiisha kwa hilo furushi ulikokimbilia usirudi tena kamwe kwa SYB hata kama ikitokea naye Mungu kambariki kawa na pesa [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…