Ngosha nipitwe tena nichekwe? Nikishiba liugali badala ya kusinzia naingia kwenye Apps za kujifunzia hiyo lugha tukufu. Ni lugha ngumu hatari ila acha nijaribu. Hujambo?