Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Hii mbinu inasaidia sana aisee. Na mimi huwa naitumia "Demu mwenyewe hata tako siyo kubwa kivile" wakati huku moyoni tumaumivu tupo twa kishikaji [emoji16][emoji16][emoji16]Mimi demu akinizingua huwa nakumbuka kasoro yake alafu najisemea moyoni "demu mwenyewe ana kovu" aende zake.....inasaidia kupunguza machunguView attachment 1887853
Ni kweli eti Ostaadh alikuwa anakusalimia tu? Usidanganye please [emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nchi yangu TANZANIA.Ni mnyukano!
Wamefungia gazeti lao wenyewe...
View attachment 1888539View attachment 1888540View attachment 1888542View attachment 1888543View attachment 1888544
Muamini alikua ananisalimia tu [emoji16]Ni kweli eti Ostaadh alikuwa anakusalimia tu? Usidanganye please [emoji16][emoji16]
Mimi nimesema kuwa huu ni mtego. Magazeti mengine yakae chonjo. Kakosa kadogo tu wanafungiwa. Hii ni precedent inawekwa. Hata umma utakuwa hauna huruma kivile kwa sababu itaonekana kuwa ni fair play...kwamba hata la kwao wanafungia na hawabagui.Nchi yangu TANZANIA.
Hivi inawezekana kabisa hawa Jamaa kutufanya sisi wote wajinga?!
Hili gazeti ni mali ya nani,kabla ya kuchapa huwa hawahariri habari zao?!
Wazee wa kutengeneza tatizo na kulitatua,kuna jambo linafichwa hapa.
Drama tuwaachie wasanii, please
[emoji2957][emoji2957]Natamani kweli kujua mnachoongelea. Kuna translator hapa nayo imenigomea. Hoovyoo!
Si ajabu mnatongozana hapa hapa laivu Wagalatia tupo tu tumekodoa macho [emoji16][emoji16][emoji16]
Sinywi pombe...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]na wewe kwa misambwanda unaipenda balaa
Usijali mkuu nilikuwa namsalimia tu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Wewe huyu ni wa kusalimia tu wewe!? [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Ni kweli eti Ostaadh alikuwa anakusalimia tu? Usidanganye please [emoji16][emoji16]
Muamini alikua ananisalimia tu [emoji16]
Angalau kwa juu juu...baada ya kusalimiana...[emoji16][emoji16][emoji16]...[emoji2957][emoji2957]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Labda kama ni wa kwako. Hii ya kuokota mtandaoni wala haina mzuka kihivyo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Nenda pm,
Nimekutumia misambwanda kama yote[emoji23]
Wanatuona sisi ni vilaza hatuwezi kutafakari mambo,lakini kile naamini kila jambo lina mwisho wake.Mimi nimesema kuwa huu ni mtego. Magazeti mengine yakae chonjo. Kakosa kadogo tu wanafungiwa. Hii ni precedent inawekwa. Hata umma utakuwa hauna huruma kivile kwa sababu itaonekana kuwa ni fair play...kwamba hata la kwao wanafungia na hawabagui.
Ukiangalia hiyo habari kwa ndani kuna typo kibao utafikiri gazeti halina mhariri. Eti Rais Samia SuluhuHassa [emoji16][emoji16][emoji16]
Dah inauma hii😂 ngoja nilale tu sasa
آمين...مشكوره [emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji1787][emoji1787]لا ياحبيبي الدولة مغلق من زمان [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
تهانينا! ظننت أن الدولة مفتوحة! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Ni nini kinaendelea hapa mda wote huo jamani?! Emiir hiyo namba ushapewa au bado?!!عندي زواج خلاص.....