Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mpaka unaonekana wewe kituko. Huwa naapa sikopeshi tena lakini by nature wengine tunaamini hata uongo mweupe.

wadaiwa wangu kama mnasoma huu uzi mje mniletee pesa yangu.
Yaani nikifa leo wataona aibu maana daftari la madeni lipo chini ya meza ya sebureni. Mliomo humu mnilipe kutoa wanangu ambao wenyewe wakijua wanadaiwa wananitumia mess.
Kumbuka humu wengi tunatumia pseudo names lakini tunawasiliana.

JF imenipa watoto wakuniimbia Pambio kama la mwendazake nikijiondokea. Imenipa wadogo watakao koka moto ili wachawi wasiniibe. I love. Jf
 
Mbona unaongea maneno mazito hivi; kulikoni mpendwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…