Sijui ila nahisi jamaa kama anapata raha vile, demu akinijia juu hivyo ataishia kunipiga achoke maana nitakua naenjoy kulaliwa kihivyo.....hehehe am I a pervert.
Nimepata kabinti ka kilokole aisee ndo kapo kanapambana ila vita ni vikali si vya kitoto aisee. Kwa neema ya Mungu nitaokoka tu. Tukutane peponi kamanda