Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ndiyo maana mimi huwa nikiona mtu analaumu sijui mabeberu sijui nini huwa nampiga biti pale pale. Chukua hiyo ripoti ya CAG ya mwaka huu. Angalia mapesa yote yale yaliyotafunwa na wajanja. Halafu eti bado kuna watoto wetu wanakaa chini hawana madawati. Mkiulizwa ooh mabeberu. Mabeberu my foot. Beberu wa Mwafrika ni mwafrika mwenyewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…