Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kiukweli sijawahi kuzizoea feni,kila nikilala huwa najiuliza hivi kwa speed hii ikichomoka usiku itakuwaje? naamua kupunguza speed au nazima kabisa,

Nilimtembelea ndugu yangu mmoja chumba nilichokuwa nalala ile feni ilikuwa na hitilafu kidogo na alinambia,kwamba ukiwasha ina spidi kali sana yaani zile button za low speed zilishakufa,kwahio ukiwasha tu ni mwendo wa kufa mtu,halafu ni yale mapanga marefu, nilikuwa siwashi usiku aisee,

Chakukufia nini?
,

Huwa nina amani na feni zenye nyavu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…