Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kombe lenyewe bayaaa[emoji57][emoji57][emoji57]

Hay ni maneno yako au kuna mtu mwengine kaandika? Mbona tulikubaliana lakini huu mchezo tu,mwisho kama tumeshindwa sisi mashabiki wa Yanga tuwape pongezi wapinzani walituzidi mbinu.Huu ni ushabiki [emoji16][emoji16] au siyo kama yanga angeshinda inamaana Simba alizidiwa mbinu uwanjani.wape pongezi wapinzani wako sawa[emoji106].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…