Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hana msimamo huyu. Kwanza mwanaume unamuombaje mwanamke msamaha?
Toka lini. Angesimamia kauli yake wananchi walikua wameshamuelewa.

Mtaka kanikera sana kuomba radhi,basi tu.
Mbona mwenzie Makonda tupo nae tu kitaa tunakula nae mahindi ya kupaka ndimu na pilipili na siku zinakata tu.
 
Nogambaki bojo? Umesharudi kutoka ile safari yako ya New York uliyosafiri first class presidential suite kwenye Airbus 380 mpya iliyofungwa injini spesheli za Trent Rolls-Royce zenye purified titanium na diamond alloys? Karibu tena bosi hapa Bongo. Bila shaka huko Masaki hamjambo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…