Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kweli kabisa mkuu, imagine mwanamke anakuteka anakubaka usiku mzima [emoji16][emoji16]

Heheheh!! Nikijua wapi hapo wanaume wanatekwa nitakua napita pita kila siku na mimi nisake bahati hiyo....hawa viumbe hawa ukiwaza namna hutugharimu kuwafikia hapo kwenye mapaja yao, eti waanze ghafla kututeka na kutupea bure....aisei.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]hako kamtaa katakuwa busy wanaume wanapita masaa 24
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…