Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ni wangapi kwa utajiri duniani?
Elimu haina uhusiano na utajiri; na lengo la elimu siyo kuwatajirisha waipatayo (labda huku Afrika ambako elimu hii tuliletewa tu na hatujui hasa lengo lake ni nini). Kama unasoma ili utajirike unapoteza muda tu; na elimu ya form 6 inakutosha kabisa.

Mtu kama huyu simtegemei kuwa tajiri bali namtegemea kuwa ameandika vitabu na papers nyingi na ni mtu anayealikwa sana kwenye makongamano na mihadhara ya kitaaluma. Kazi yake kubwa ni kufanya utafiti, kuandika mawazo yake na kurithisha maarifa yake kwa vizazi vijavyo....
 
Anapata pesa lakini au kujitolea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…