wanakera sana hao sometimes,siku nyingine unaamka na jero tu asubuhi na unataka ule ushibe unakuta wao siku hiyo hawajafungua basi ndo unakula maandazi breakfast ya nusu saa
Hv hawa jamaa kwenye kutongoza huwa wanamwaga vesi miksa ahadi za uongo na kweli km wamatumbi,kuvimba akiwa karibu kuliwa nauli au kutokupokelewa simu!!!???