Vituko mitandaoni. Tupia chako

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kuna jamaa alileta uzi akasema baada ya kumjibu vibaya tapeli kama ulivyofanya ww, tapeli akamuambia jamaa kwamba hizo pesa nilizokutumia ukishazitoa uziviringishe utengeneze mduara halafu ujiingizie mku*ndun!
Hahahaaa wana matusi sana na mie niliona huo Uzi alimwambia viringisha hiyo million 2 kama sigara halafu sokomeza hukoπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…