Nitakuletea source huko huko Green City. Usiwe na shaka. Unavipenda?
JF hapa kwangu ndo kijiwe cha kahawa kwa hivyo usinione hivi. Bila vijiwe hivi si ajabu ningewehuka kwa sababu mahali nilipo hakuna social life kabisa...Kwa hivyo nikicheka hivi na soulimeti basi miye roho kwatu nalala usingizi mnonooo