Umaarufu wa mtu unatakiwa kuwa na faida gani katika jamii? Mchungaji hata yeye ni maarufu, je umaarufu wake una faida gani? Watu maarufu duniani wana faida yo yote? Tusio na umaarufu tuna faida yo yote? Binadamu ana faida yo yote hapa duniani?
He got me rolling man. Ni muumini kidogo wa existentialism...
Hii ndiyo gredi safi ya ukimbaumbau inayotakiwa. Kidemu chembamba cha hivi hata kikiwa na gubu na kisirani mtu unavumilia tu. Vimbaumbau take note please