Samaki huyu anayedhaniwa kuwa na sura mbaya kuliko wote anaishi kwenye maji yenye kina cha kuanzia futi 2000 mpaka 4000.
Akiwa ndani ya maji anakuwa na muonekano wa kawaida, akitolewa anapata muonekano wa kutisha.
View attachment 1799100View attachment 1799101