Ndugu Mgirik kwakupitia wewe niwatake radhi wote hupa jukwaani kwakuchanganya mambo. Jana nilipiga K Vant za kutosha.....sasa wakati napost akili ilikuwa likizo kabisa. Nisameheni sana. Ila nimeshazipeleka maeneo husika.