Vituko mitandaoni. Tupia chako

afu kwani umefanyaje mkuu?, nikiclick hizo highlighted words ndiyo naona username zetu
Ujue ulivyoongea hapa, ndiyo na mimi nikaenda kuchungulia. Kwa kweli msukuma akierevuka, mnyaki yu matatani
Nimeshangaa nikiclick "Mbeya" inatokeza Heaven sent hee nikaclick "makanisa" naona ndugu yetu karma duh "mengi" eti ni financial services jamani
msukuma mjanja sasa ataturingiaa


SHIMBA YA BUYENZE
Tutapata tabu mbona na msukuma mweeh
Nilikuwa nawachokoza tu nyie Wanyaki watani zangu jamani. Nina hamu ya kufika Mbeya siku moja. Bila shaka mtakuwa wenyeji wazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…