hayaaa unaacha damu nzuri hivi???? πππππππ
Jamii Forums imevamiwa!!!hayaaa unaacha damu nzuri hivi???? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
angekuzalia vitoto vizuri ni acha kabisa! au joka la kibisa???
watoto wazuri hawaseme wagi mbov mubofu!!! una tatizo mahali wewe.
weee!! angalia mfalme Daudi alifika bei kwa mke wa Hulia.
samsoni ndo usisemew kabisaaaa!!
huyu hakosi soko utaishia kujinyonga tuuu!! subili
Sura ya mwanamke aliyesuka
rudi shule usome upya salini ndo nini?Jamii Forums imevamiwa!!!
Yaani imekuwa kama salini za wanawake wa Tandika.
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Kwakuwa wewe ndo huyo hapo pichani......heshima kwako. 2012 haita sahaulika kamwe.rudi shule usome upya salini ndo nini?
Uvamizi manake nini au umeshiba vihepe
Hata mimi nitalima mtu