Vituko mitandaoni. Tupia chako

Utafiti kutoka wapi huu, hahaha
Sayansi ya kweli ilikufa na akina Isaka Niutoni. Siku hizi anayetoa pesa kudhamini utafiti ndiye anayeamua kuhusu matokeo ya utafiti huo. Ndiyo maana usishangae leo ukisikia utafiti unasema eti kahawa inasababisha kansa halafu kesho tena utafiti mwingine unasema kahawa ni salama na wanywa kahawa huishi maisha marefu...Hata kwenye hili suala la CHAPUTA ni hivyo hivyo....

Akili za kuambiwa ni lazima uchanganye na zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…