Hizo ni hesabu rahisi tu haihitaji kuombana misamaha zito nae anashindwa nini kuelewa
Tangu jamaa ale uteuzi sidhani kama alishawahi kuwasilisha report
Mzee mwenyewe mwamba angekuwepo kungekuwa na report yake tofauti na hii
Lakini upepo umebadilika na jamaa kajiongeza tu juu kwa juu
Huenda yeye mwenyewe alikuwa anamuingiza chaka, huwezi jua, maana walikuwa mabesti waliogawana majukumu.
Kumbuka ule msemo "Wewe washughulikie huko ndani wakitoka nje mi nitawachapa"