Vituko mitandaoni. Tupia chako

BBC

BBC waongo Nkurunziza Pieree kazazliwa Disemba 1964 ametwaliwa na Corona akiwa na miaka 57, mbona kila kiongozi BBC wanaandika kaondoka na Moyo
Viongozi wengi Duniani wana matatizo ya Moyo, Sukari, Kansa.
Magonjwa hayo ukikutana na Corona safari inakuwa nyepesi.
Na hapa barani Afrika viongozi wetu hawapendi kuhusishwa na ugonjwa wa Corona hata kama kweli amepata maambukizi..
Kwahiyo kiongizi anapofariki anayetoa taarifa ya chanzo cha ugonjwa ni serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…