Kama unatumia app, nenda kwenye settings halafu click mahali panaposema signature. Ukishafika hapo, turn it off. JF wenyewe wamei-turn off automatically ila kuna wakati huwa inafufuka tu unajikuta mtu unautangazia ulimwengu simu unayotumia hata bila kujua.
Kama unatumia web nenda kwenye signature napo ukafanye vivyo hivyo. Turn it off.