Vituko mitandaoni. Tupia chako

This IS NOT OK. These are innocent kids. Just remove it...

Picha kama hii ukidakwa nayo kwenye simu au kompyuta yako huko kwa wenzetu inatosha kukuharibia maisha.
Hii unaweza kuiweka kundi la Child Pornography kweli??? Labda kama na wewe ni Pedo

BTW huko kwa wenzetu unayoyaona makubwa huku ni madogo sana, Au yakawa madogo huko halafu huku makubwa(Kwenye swala la Picha na consent za wapigwa picha/ content ya hiyo picha)

Hata hivyo kwa heshima ya JF naitoa mkuu. Asante kwa ushauri
 
Asante japo umehakikisha kuwa umenirushia dongo kwanza. Wabongo bana sijui tukoje.

Picha hiyo hata kwa sheria yetu ya makosa ya mtandaoni tu hapa nchini inakutia hatiani; na haina dhumuni lo lote jingine mbali na kuwadhalilisha hao malaika ambao hata hawajui walifanyalo. Hata usingeitoa, mods wangeiondoa tu.

Haya tusonge mbele kamanda
 
Hahahaaa kumbe unatujua wabongo sio??

Pamoja sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…