Haya ni matumizi mabaya ya fedha... Wana UWABATA naomba ridhaa yenu kwenye kikao kijacho niinyooshe taasisi hii.. sioni haja ya kulipa rent kwenye jengo kubwa kiasi hiki... Tungeendelea kuweka meza yetu chini ya mti na ofisi za mikoa tutafute vitambulisho vya elfu ishirini tutafute eneo tuweke meza kila wilaya.
sisi wengine hatujakiona hicho kituko, imekuweje Moderator ni kila mtu/member?
sasa inabidi muda wote tuwepo hewani
mm naomba kirudishe kwani hakina madhara Mods wangeshakiondoa