CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,915
- 3,475
Wanaume hoyee,Mungu aendelee kutubariki kwa kwelu,ukute ndo umejaliwaa kupangilia nondo dah yani hata wale watoto Wa Yoweri kaguta museveni hawachomoi.Simbaaaaaaaaaaaaa.......
Nimejikuta wakati natabasamu macho yametengeneza taswira ya kopa ππππ
Aahahahahahaaa nnavopenda safari mie, ukisema tuu unakuja kunichukua na gari halafu unaendesha hadi Misungwi kwa mama mkwe, naanzaje kuchomoka hapo sasa....π
Yaani ndo ushanitega tayari, looh
Kasinde mie kwisha habari yangu π€©π€©π.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata wewe umeshindwa kuniokoa mahali hapa pamoja na maarifa yote uliyonayo!!"Hapo huchomoki tena mwana kama ni ulisi andika tu kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Una roho ngumu sana, khaaa!![emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]View attachment 1719148
Astakafiru[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Kidogo kidogo View attachment 1719146
[emoji3064][emoji3064][emoji23][emoji23][emoji23][emoji849][emoji849]View attachment 1719148
Future JF pisi kaliHapi besidai totoooView attachment 1719154
Huyu atakuwa ni mwanangu!πππHapi besidai totoooView attachment 1719154
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nami niko kifungoni kakaView attachment 1719169