Siyo kweli, hizo white bubbles siyo TB, ni cysts za minyoo ya tegu ya nguruwe: Taenia solium - Porcine cystercosis. binadamu akila nyama mabayo haijaiva vizuri minyoo hiyo huenda kutengeneza cyst katika ubongo, hivyo, binadamu hupata kifafa na anaweza kufa ikiwa hatapata huduma mapema