Sasa angenyonya mpaka lini?, pamoja na hivyo hayo maziwa ya huyo binti yake hawez shiba, lazima angekufa tuNi kweli ananyonya lakini haikuwa kunyonya for fun!
Huyo baba alihukumiwa kifo na kwa mujibu wa sheria za nchi ile ukihukumiwa kifo unafungwa gerezani hupewi chakula mpaka unakufa kwa njaa
Sasa huyo binti yake wakati baba anahukumiwa alikuwa ana mtoto mchanga anayenyonya ndio akawa akienda gerezani kumuona baba yake anampa ziwa anyonye ili asife bila askari kujua
Baadae askari walijiuliza sana mbona huyo bwana hafi na imekuwa muda mrefu ikabidi wafuatilie ndio ikagundulika kumbe binti yake huwa anamyonyesha maziwa.
Je alichofanya ni ujinga?you can judge.
Wewe ungeacha baba yako afe?
Kwamba angenyonya mpaka lini sijui,ila ninachojua,kama leo hii mtu akipewa uwezo wa kuongeza hata dk 10 za mpendwa wake asiondoke duniani angefanya hivyo bila kujiuliza.Sasa angenyonya mpaka lini?, pamoja na hivyo hayo maziwa ya huyo binti yake hawez shiba, lazima angekufa tu
Unataka kusema kwamba watu hawataki kufa?Kwamba angenyonya mpaka lini sijui,ila ninachojua,kama leo hii mtu akipewa uwezo wa kuongeza hata dk 10 za mpendwa wake asiondoke duniani angefanya hivyo bila kujiuliza.
Ndicho alichofanya huyuo binti.
Sio tu hawataki,hawapendi kufaUnataka kusema kwamba watu hawataki kufa?
Umejuaje hawapendi, na kwaniniSio tu hawataki,hawapendi kufa
Nimehisi tu,ila tuachane nalo,tuendelee kutupia vituko vya mitandaoni.Umejuaje hawapendi, na kwanini
Haaaaa Haaaaa 😂 😂 hallo leo ningekupeleka sana we mtoto wa Dar.Nimehisi tu,ila tuachane nalo,tuendelee kutupia vituko vya mitandaoni.
There is no confusion there[emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji3][emoji3][emoji3],nimekunja kona na 160Haaaaa Haaaaa [emoji23] [emoji23] hallo leo ningekupeleka sana we mtoto wa Dar.
Fresh, don worry[emoji3][emoji3][emoji3],nimekunja kona na 160
Hahahahaha.....nzi wanagegedeana kwenye nywele