Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ina mana baba mzazi ananyonya maziwa ya binti yake sio? Na binti ana mtoto mchanga
Ni kweli ananyonya lakini haikuwa kunyonya for fun!

Huyo baba alihukumiwa kifo na kwa mujibu wa sheria za nchi ile ukihukumiwa kifo unafungwa gerezani hupewi chakula mpaka unakufa kwa njaa

Sasa huyo binti yake wakati baba anahukumiwa alikuwa ana mtoto mchanga anayenyonya ndio akawa akienda gerezani kumuona baba yake anampa ziwa anyonye ili asife bila askari kujua

Baadae askari walijiuliza sana mbona huyo bwana hafi na imekuwa muda mrefu ikabidi wafuatilie ndio ikagundulika kumbe binti yake huwa anamyonyesha maziwa.

Je alichofanya ni ujinga?you can judge.
Wewe ungeacha baba yako afe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…