Vituko mitandaoni. Tupia chako

Dkt. Magufuli (Kinyerezi, Dar): Nimemteua Zungu kuwa Waziri wa Mazingira wa Tanzania nzima, halafu ninyi mnataka mumtoe..

> Au kwasababu ni mweupe mno, kwa bahati mbaya ni Mwanaume, angekuwa Mwanamke angetolewa ng’ombe wengi sana kule Mwanza
Ingekuwa kimtaa mtaa hiyo kauli ya kutolewa ng'ombe ingeleta ngumi za kufa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…