Vituko mitandaoni. Tupia chako

hahahaha
watoto wa Old moshi huwa wananifurahisha sana yani niwagumu sana siku hizi.wale wa sasa sidhani kama hata wanawaza mademu
Acha utani, pale wanawaza mademu kila muda. Kila bash na graduation wapo. Mawenzi ndo mademu zao wakuu. Afu watoro sana kwenda mitaani na kujichanganya na Ushirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…