Vituko mitandaoni. Tupia chako

Siku hizi naona kama πŸ₯’ zitakuwa zikiuzwa
Zikiwa zimekatakatwa πŸ€”πŸ€”πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Siku hizi naona kama πŸ₯’ zitakuwa zikiuzwa
Zikiwa zimekatakatwa πŸ€”πŸ€”πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£View attachment 3420801


1. Acheni roho mbaya, tango ni sehemu ya kachumbari na shurti likakatwe jikoni sio sokoni...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

2. Punguzeni wivu, ile nyama haina mbadala...πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
Linapunguza machungu ya nyie mnavyo chovyachovya michuzi kwenye kila kibakuli...πŸ˜…πŸ˜…

3. Walau mnakuwa salama na magonjwa mtambuka aka magonjwa nyetegezi...😁😁.

4. Mkulima ataingia hasara, tango lililokatwa linaharibika haraka...πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…