Ishawahi kunitokea hii Zanzibar umeme ulipokuwa umekatika miezi mitatu mfululizo. Nilizunguka hiyo sehemu masaa matatu halafu ikawa imefika saa 3 usiku. Ikabidi niite Taxi lakini Wazanzibari ni waaminifu sana yule dereva akaniambia umezunguka hapa masaa mengi sehemu unapooenda ni pale. Uwe una salimia ndugu yetu 😂😂😂