Vituko mitandaoni. Tupia chako

Bahili mmoja alinunua mbuzi akamwambia mpishi

Bahili: Nyama nusu ipike pilau, na nyingine iweke kwenye friza, kichwa fanya supu, miguu fanya mchuzi chukuchuku, ngozi usitupe tutafanya mkeka, utumbo pikia ndizi, na mifupa tutawauzia wenye mbwa. Kinyesi kihifadhi kwa ajili ya mbolea ya bustani.

Mpishi akamuuliza Hutaki na sauti ya mbuzi tufanye ring tone kwenye simu yako ...??πŸ€£πŸ™„πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…